Wanafunzi wa kidato cha pili nchini kote Tanzania wapo katika mitihani ya kumalizia elimu hiyo, lakini hivi takribani siku moja ya kuanza kwa mitihani hiyo kumeibuka taarifa za kuvuja kwa mitihani hiyo..Mtandao huu wa Hakimtoto, tunakemea vikali tabia hiyo na tunawataka wazazi kuakikisha vitendo hivyo vinapotea kabisa wala visitokee, tujengewe mazingira mazuri ya elimu.
Taarifa za kuvija kwa mitihani hiyo ya kidato cha nne iliyotolewa na vyombo vya habari tunaomba mamlaka husika kuchukua hatua ya haraka kwani vitendo hivi havikubali kwa ni uvunjaji wa haki!!
No comments:
Post a Comment