Pichani; Mjumbe wa Mkutano mkuu Taifa,Mwanaharakati na Balozi wa Jamii nchini, Dada Shyrose Bhanji akiwa amembeba mtoto mapema leo mjini Zanzibar hii ni kuonyesha upendo kwa kila mmoja.
Siku zote watoto wanatakiwa kuonyeshwa upendo ikiwemo kubebwa kama hivi sambamba na kuwaonyesha maneno ya kuwabembeleza
No comments:
Post a Comment