PATA MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII POPOTE ULIPO!

Monday, January 24, 2011

NDANI YA BILICANAS JANUARI 30..Z.Anto amlilia ‘Binti Kiziwi’ Bilicanas

MSANII  nyota wa kizazi kipya nchini Ally Mohammed 'Z-Anto'  ama Malavidavi guru’ usiku wa kuamkia leo 24 na kuweza kumlilia ‘Binti Kiziwi’ na kufanya burudani kuwa ya kipekee  katika  ijulikanayo ‘Bongo Stars Nite’ inayofanyika kila jumapili jijini Dar es Salaam,ndani ya ukumbi wa kimataifa wa Club Bilicanas.

Katika shoo hiyo, Z.Anto aliweza kuimba ambamba na Pingu ambapo walipamba kwa freestyle mbalimbali sambamba na kuimba vibao vyao vinanvyotamba katika chati za Bongo kwa sasa na zamani.

Baadhi ya vibao hivyo ambavyo viliwadadtisha wadau wa burudani wliofurika ndabni ya Bilz ni pamoja na ‘Binti Kiziwi’ ambacho kiliweza kuwakonga wengi na kuamsha shamrashamra za mara kwa mara wakati msanii huyo alipokuwa akiingizia vionjo mbalimbali katika midundo (beat) ya kibao hicho na kufanya shoo kuwa na shangwe muda wote

Nyimbo nyingine walizowakonga nyoyo mashabiki ni pamoja na ‘Kisima cha Malavidavi’, ‘Sauti ya Deejay’, ‘Peace and Love’ na nyingine nyingi.

Pingu na Z.Anto  wamekuwa kwakishirikiana kwa ukaribu muda mrefu toka kutoa kibao hicho cha ‘Binti Kiziwi’ hali uyo imewafanya kuwa na mafanikio makubwa na kuweza kupiga shoo ndani na nje ya nchi wakiwapamoja.

Katika shoo ya wiki ijayo ya Januari 30, msanii nyota Steve RnB  ‘Loverboy’ akisindikizwa na Baby boy, watapishoo kali kwa vibao vikali vinavyotamba kama ‘Onelove’, ‘Sogea karibu’ na vingine vingi huku kiingilio kikiwa Tsh.5000 tu.Wednesday, January 19, 2011

MSAADA TUTANI TAFADHALI

                                 Jamani kupotewa kwa vyeti......

BW. kIHWELE EMMANUEL

YAH. KUPOTELEWA NA VYETI VYA FORM IV (Living Certificate na Academic Certificate), RESULT SLEEP YA FORM SIX, CHETI CHA KUZALIWA NA CHETI CHA KIFO CHA MMOJA WA WAZAZI WAKE.
VYETI VYO VIMEPOTEA /KUSAHAULIWA KATIKA GARI (DALADALA) LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA UBUNGO - MASAKI LEO TAREHE 19/1/2011 SAA 5 ASUBUHI WAKATI MWANAFUNZI HUYO AKITOKEA BODI YA MIKOPO (TIRDO) MSASANI KUELEKEA UBUNGO.
ANAOMBA KWA YEYOTE ALIYEVIONA/KUVIOKOTA/KUVICHUKUA AMRUDISHIE KWA KUWASILIANA NAYE KWA ANWANI IFUATAYO; KIHWELE EMMANUEL D. MOB - O783 059220 na 0716001981.
AU AVIPELEKE KWENYE KITUO CHOCHOTE CHA POLISI 
AU CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (MLIMANI).
HII NI KWA MSAADA WA BLOG YA MICHUZI.Z-ANTO NDANI YA BILICANAS JANUARY 23!!!

FOMU ZA USHIRIKI WA BIG BROTHER -IT’S YOUR CHANCE….

Hi there,


Big Brother Africa is back, with season 6 promising to be more exciting than before!!
14 African countries, including Tanzania will participate and Big Brother is looking for NEW housemates.
Please note that you have to be 21 years or older to participate.
Entry forms are available free of charge at MultiChoice Tanzania offices or at MultiChoice agents.
Closing date is on 27th February 2011.

Kindly find attached a press release and logo with further details of this.
Any queries, please do not hesitate to contact me.

Best Regards


cid:image001.jpg@01CB37A7.9731CAC0

Barbara Kambogi
Public Relations Manager
Multichoice Tanzania Ltd
Plot 964, Ali Hassan Mwinyi road, Dar es Salaam , Tanzania . P.O Box 8933
Tel:+ 255222199626   Mobile: +255784818797     

M-NET 
SEARCHES FOR NEW HOUSEMATES FOR BIG BROTHER AFRICA 6!


January 2011

The house is being transformed. The lights and cameras are getting ready to roll again.
The doors are opening…but will it be you to walk through them into the spotlight?
M-Net’s BIG BROTHER AFRICA is looking for new housemates and the search starts right now!

The biggest reality show on the continent, with its impressive USD 200 000 winner cash prize, is back for a ground-breaking 6th season and the call for entries has begun in the 14 participating countries.
Would-be housemates from Angola, Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Malawi, Mozambique, Namibia, Nigeria, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia and Zimbabwe who fulfil the entry criteria can enter now.

If you are 21 years old or older, fluent in English, have a valid passport and are a citizen of any one of the 14 participating countries, then you too can enter. Simply collect an entry form from the MultiChoice office in your country, complete and return. It’s that easy to enter. Alternatively, you can log on to www.mnetafrica.com/bigbrother and complete your entry form online. Or download an entry form from the website, complete and email it back to bba@endemol.co.za. The deadline for all entries to be submitted is 27 February 2011 – so don’t delay. 

Remember that all entrants must be tolerant of views and lifestyle choices other than their own and must have the social flexibility to live in close proximity with others. 

Once all entries have been received, series producers Endemol will begin the process of selection, evaluating entries and shortlisting possible housemates before the audition process proceeds further.
If your entry is successful, you will be contacted by the show’s production team who will advise you of the next steps in the audition process.

Biola Alabi, M-Net Africa Managing Director, said that M-Net is looking forward to the new season of the show.

“Last year’s All Star version was a great success and we were extremely pleased with the show’s performance as some of the continent’s favourite BIG BROTHER AFRICA  housemates from previous years were reunited. It was compelling, entertaining and exciting television. This year it’s once again time for fresh faces and new perspectives so we encourage entries from across the 14 countries.
We are always approached by people who want to enter BIG BROTHER so this is their chance. If you are interested, enter as soon as possible and who knows, you could be the next housemate to enter the Big Brother house!”

She goes on to say, “As with previous years, we won’t be divulging too many details about the new season as yet. Our audiences respond favourably to surprises, they look forward to see what will happen next, what the new twists will be and we aim to please. This is a game like no other and with the format remaining highly popular with our audiences, our focus now is on creating something new and innovative while maintaining those aspects, like the strategic nomination sessions and dramatic eviction nights, that are the foundation of this show.”

Meanwhile Sivan Pillay, Managing Director Endemol, is also enthusiastic about the new season. “Big Brother is a television format that continues to enjoy great success around the world, including in countries like Spain and Germany where more than 10 editions of the show have been created. Africa is no exception to this and the format continues to be popular.”

M-Net has also confirmed that the new season of BIG BROTHER AFRICA begins on Sunday May 1 this year and once more, the dedicated DStv channel 198 will be providing 24/7 live coverage for the 91 day duration of the series.

Since its launch in 2003, five seasons of the show have been created and winners have come from across the continent. In season 1, Zambia’s Cherise Makubale walked off with the big prize, followed in season 2 by Tanzania’s Richard Bezuidenhout. Angola’s Ricco Venancio was the winner in season 3 with Nigeria’s Kevin Pam Chuwang winning season 4 and Uti Nwachukwu, also from Nigeria, taking home USD 200 000 in season 5. Who will be the winner in 2011?

It could be you!

Ends.
KAMATA NA KUCHUKUA!!

                     Du!!!!!!
Inakuaje anapokamatwa mmachinga na kuchukuliwa bidhaa zake badala ya kufikishwa kunakohusika? Pichani, Mgambo wa Manispaa ya Ilala akiwa amebaba mananasi wakati wa operesheni ya kuwaondoa wachuuzi wa matunda katika Mtaa wa Jamhuri, Dar es Salaam, jana.

HAKI MTOTO: NYUKI WAZUA BALAA DAR!

HAKI MTOTO: NYUKI WAZUA BALAA DAR!

NYUKI WAZUA BALAA DAR!

                      'Mashambulizi ya Nyuki"....ni hatari


Mwendesha pikipiki akitoa msaada wa kumpeleka katika kituo cha afya Mzee Nason Paul (katikati), aliyeshambuliwa na nyuki nyumbani kwake Kipawa Relini jijini Dar es Salaam, jana. Picha ndogo ni mtoto Idd Yohana (5), akiwa katika Zahanati ya Tiegsami Mission, iliyopo katika Kata ya Kipawa Dar es Salaam, ambaye pia alishambuliwa na nyuki hao.