PATA MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII POPOTE ULIPO!

Wednesday, January 19, 2011

NYUKI WAZUA BALAA DAR!

                      'Mashambulizi ya Nyuki"....ni hatari


Mwendesha pikipiki akitoa msaada wa kumpeleka katika kituo cha afya Mzee Nason Paul (katikati), aliyeshambuliwa na nyuki nyumbani kwake Kipawa Relini jijini Dar es Salaam, jana. Picha ndogo ni 



mtoto Idd Yohana (5), akiwa katika Zahanati ya Tiegsami Mission, iliyopo katika Kata ya Kipawa Dar es Salaam, ambaye pia alishambuliwa na nyuki hao. 


No comments:

Post a Comment