PATA MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII POPOTE ULIPO!

Tuesday, October 19, 2010

DR JAKAYA KIKWETE ALIVYOPATA ALAMA 85 UKARIBU NA WATOTO

Alama zilizompaka Rais Kikwete Ushindi wa asilimia 85 kwa kuwa karibu na jamii ususani watoto, hii ni kwa uchache, kutokana na nafasi yake ya juu kwa jamii.
Rais Kikwete akiwa moja ya shughuli zake za Uongozi nchini Tanzania.

Rais Kikwete akiwa katika moja ya shughuli zake hivi karibuni mkoa wa Dar es Salaam, Tanzaia

...Upendo Daima..ni nafasi ya pekee kwa kiongozi wa nchi kuwez kufanya jambo kama ili kwani huwa ni nadra sana, Picha hii wengi wa waliochangia walisema kimmoja  aliweza kutoa mawazo yake kwa kadri alivyokuwa akijua yeye, nipicha ya kuvutia..

Upendi kwawatoto walio na matatizo ya Ngozi,Albino..Keep it Up Kikwete.

Rais Jakaya Kikwete,(CCM) Kipindi hichi yupo katika harakati za kampeni  nchini Tanzania.



No comments:

Post a Comment