PATA MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII POPOTE ULIPO!

Saturday, October 16, 2010

HAKIMTOTO! HAKIMTOTO UCHAGUZI 2010 TZ!

Katika Hali ya kushangaza, karibu asilimia kubwa ya wagombea wa nafasi mbalimbali katiika uchaguzi wa mwaka huu, swala la watoto hawajalipa kipaumbele! Hivyo basi kwa kuwa mtoto ni shina ambalo ndio mwanzo na mwisho, chondechonde wazazi, tusiwachague wagombea ambao hawatokuwa tayari kujali HAKI ZA WATOTO!

..... The slogan for the Children's Agenda was devised by members of the Baraza la Watoto (Children's Council) who attended the Special Session of the Baraza held in Moshi in January. The slogan, "Tuwape nafasi viongozi wanaojali watoto kwa kutetea haki zao" - means "Let's give a chance to leaders who care about children by ...defending their rights." Here is the Kiswahili sign up form for candidates to commit to the Top Ten Investments for Children - which echos the slogan. The sign-up form says: Are you a candidate who cares about children by defending their rights? Sign on to the Children's Agenda. Every month we will publish the names of all candidates who have pledge support for The Children's Agenda. I am a candidate in the 2010 elections and I support the Children's Agenda." Candidates are asked to give their name, the constituency they are contesting and their signature. The English version of the sign-up form is in the Choildren's Agenda photo album

No comments:

Post a Comment